ZecHub
Anza Hapa
Anza safari yako ya kujifunza Zcash
ZecHub
Anza Hapa
Anza safari yako ya kujifunza Zcash
ZecHub ni kitovu cha elimu kilichogatuliwa [decentralized] kwa ajili ya Zcash. Lengo la ZecHub ni kutoa jukwaa la elimu ambapo wanajamii wanaweza kushirikiana katika kuunda, kuthibitisha na kukuza maudhui yanayounga mkono mfumo ikolojia wa Zcash. Tunafanya hivyo kupitia mbinu chache.
Mafunzo, blogu za muundo mfupi na jarida la habari ni vya chanzo huria [open source] na vinapangishwa kwenye GitHub, kumaanisha kuwa mtu yeyote kutoka katika jamii anaweza kuchangia. Hii ni kuhakikisha maudhui ni sahihi na kwamba chaneli yenyewe haina sehemu moja ya kushindwa.
Ikiwa wewe ni mgeni katika Zcash, tumia mwongozo huu.****
Nenda kwenye hifadhi [repository] ya ZecHub ya GitHub
Unda akaunti mpya ya GitHub au ingia kwa kutumia yako mwenyewe
Fuata mwongozo huu ili ujifunze jinsi ya kutuma ombi la kuvuta [pull request]:
Kwa madhumuni ya kudumisha mwonekano unaofanana wa ZecHub, kuna kiolezo unachoweza kutumia unapoongeza kurasa kwenye hifadhi.
1. All pages should have additional resources (ie. links to z.cash) to support content
2. No marketing or sponsored content
3. No inappropriate content.
Michango: hapa
KANUSHO: ZecHub ni mpango huru kabisa na wa chanzo huria ulioanzishwa na wanajamii wa Zcash. Hakuna chochote kilichomo katika hifadhi hii ya GitHub kinachopaswa kuchukuliwa kuwa ushauri wa kifedha au uwekezaji - ni kwa madhumuni ya taarifa pekee.
Ikiwa ungependa kuongeza au kupendekeza marekebisho kwenye ukurasa huu wa wiki, tafadhali nenda kwenye hifadhi ya GitHub ya ZecHub na utume ombi la kuvuta.