ZecHub
Anza Hapa
Anza safari yako ya kujifunza Zcash
ZecHub
Anza Hapa
Anza safari yako ya kujifunza Zcash
Baadhi ya haya yanaweza kuonekana mengi sana. Tunaelewa! Kuna taarifa nyingi hapa. Huu ni mwongozo rahisi wa hatua kwa hatua unaoonyesha jinsi unavyopaswa kuvinjari wiki hii.
Ikiwa wewe ni mpya katika Zcash, hapa ni mahali pazuri pa kujifunza kwa haraka. Jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kuangalia kurasa hizi:
Mwongozo wa Mtumiaji Mpya wa Zcash
Baada ya kusoma nyaraka za utangulizi na rasilimali zinazohusiana nazo, angalia video za Kutumia ZEC na Mafunzo ili utambulishwe katika matumizi ya ZEC.
Ikiwa wewe ni mwanajamii, ni jambo zuri sana! Jambo bora unaloweza kufanya ili uendelee kupata taarifa za karibuni ni kufuatilia jarida la habari [newsletter] la kila wiki Muhtasari wa Mfumo Ikolojia wa Zcash na kufuatilia akaunti zote kwenye Orodha ya kurasa za jumuiya ya Zcash.
Vizuri! Tafadhali soma ZecHub ni nini kisha uangalie Saidia Kujenga ZecHub ili ujifunze jinsi ya kuchangia.