


Je, ungependa kujifunza zaidi kuhusu mfumo wa ikolojia wa Zcash? Hii hapa ni orodha ya podikasti unazoweza kufuatilia:
Orodha ya kucheza ya Miamala ya faragha [Shielded Transactions]
Je, kuna podikasti bora ambayo haipo? Wasiliana nasi kwenye Discord na tutaiongeza kwenye orodha.