Edit this page on GitHub (opens in a new tab)
Vyanzo vya sarafu za bure ni huduma zinazotoa kiasi kidogo cha sarafu za kidijitali bila malipo. Mara nyingi hutumiwa na wasanidi programu [developers] kufanya majaribio ya sarafu za kidijitali na watumiaji kupata kiasi kidogo cha sarafu za kidijitali bila kulazimika kuzinunua. Kwa kawaida huweka kikomo cha kiasi cha sarafu za kidijitali ambacho mtumiaji anaweza kupokea kwa muda fulani.
Mtandao mkuu: zecfaucet
Mtandao wa majaribio: fauzec.com
Mtandao wa majaribio: zcashfaucet.jinolabs.xyz