


Podikasti ya Z2Z huandaa mazungumzo marefu kati ya Ian Sagstetter (kutoka Electric Coin Company) na wanachama wengine wa jumuiya ya Zcash.
Podikasti hii hushughulikia mada mbalimbali, lakini hasa hulenga Zcash na uzoefu wa watumiaji wake.
Pata taarifa za vipindi vijavyo:
Spotify kwa Watangazaji wa podikasti
Orodha ya Vipindi
Kipindi cha 1 - Udhibiti wa sarafu za kidijitali [Crypto] na faragha ya kifedha [financial privacy] pamoja na J.W. Verret YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 2 - NFT za muziki, faragha na uhuru wa kiuchumi pamoja na Xcelencia YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 3 - DeFi na faragha pamoja na RAILGUN YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 4 - Masimulizi ya Zcash pamoja na David kutoka Media ya Zcash YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 5 - Podikasti mpya ya Zcash pamoja na Joël Valenzuela YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 6 - Pendekezo jipya zaidi la ruzuku la Zcash Brasil pamoja na Samara YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 7 - FUD ya Zcash pamoja na Josh Swihart YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 8 - Usalama wa Zcash na lightwalletd pamoja na Taylor Hornby YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 9 - Klabu ya ZFAV pamoja na Ryan Taylor (pia ajulikanaye kama AdjyLeak) YouTube | Odysee | Spotify
Kipindi cha 10 - Faragha kwa manufaa ya umma pamoja na Amber Baldet YouTube | Odysee
Ikiwa una mapendekezo ya mtu ambaye ungependa kumuona baadaye kwenye podikasti, jisikie huru kuwasiliana nasi! Ujumbe wa moja kwa moja kwa @zechub kwenye Twitter