Nenda kwenye maudhui
Usanidi wa Matangazo ya Moja kwa Moja
Utakachohitaji:
- Kamera ya video [video camera] yenye pato la HDMI bila vitu vya kufunika taswira
- Stendi ya kamera yenye miguu mitatu [tripod]
- Kifaa cha kunasa video kutoka HDMI hadi USB (2x)
- HDMI kwa ajili ya kunasa slaidi za wasilisho/onyesho (bora ikiwa haina waya)
- Mlisho wa sauti kutoka kwa kichanganyaji sauti (bora ikiwa haina waya)
- Kompyuta mpakato inayoweza kuendesha OBS au programu inayofanana (bora ikiwa ina ethernet)
Madhumuni ya kifurushi hiki ni ubora na urahisi wa kubeba.
Kuna njia za kubadilisha baadhi ya vifaa hivi kwa suluhisho zinazopatikana kwa urahisi zaidi (kama kutumia simu badala ya kamera), ambazo zitajadiliwa katika chapisho lingine la wiki.
![Example scheme how to connect all devices for streaming. Author: decentralistdan]()
Mpangilio wa mfano wa jinsi ya kuunganisha vifaa vyote kwa utiririshaji. Mwandishi: decentralistdan