Nenda kwenye maudhui
Utengenezaji wa picha [Image generating]
Ni wapi pa kupakua modeli za utengenezaji wa picha?
Kwenye HuggingFace na **Civitai** kuna modeli nyingi tofauti.
Windows - pakua modeli maalum [custom models]
Kwa kawaida, GPU yenye angalau 4GB za kumbukumbu ya video inahitajika kwa kifaa chochote cha AI.
GPU za Nvida hufanya kazi vizuri zaidi.
Mac OS - pakua modeli maalum
- Draw Things: AI Generation kutoka AppStore - bila malipo
(Inaweza kutumia modeli nyingi tofauti za StableDiffusion)
- DiffusionBee - bila malipo
(Inaweza kutumia modeli nyingi tofauti za StableDiffusion)
- InvokeAI (inahitaji 4GB za kumbukumbu ya GPU)
Linux - pakua modeli maalum
- InvokeAI (inahitaji 4GB za kumbukumbu ya GPU)
Uzalishaji wa maandishi [Text generating]
Windows - pakua modeli maalum
- GPT4All (angalau 8GB za RAM zinahitajika)
Mac OS - pakua modeli maalum
- GPT4All - (hufanya kazi haraka sana kwenye Mac zenye M1, kutegemea modeli ya GPT inayotumika)
Linux - pakua modeli maalum
- GPT4All (angalau 8GB za RAM zinahitajika)